ayatullah khamenei

IQNA

IQNA – Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Nujaba ya Iraq amesema kuwa tishio lolote dhidi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, linachukuliwa kuwa ni tangazo la vita.
Habari ID: 3481828    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/21

IQNA – Baraza la Mashauriano la Mashirika ya Kiislamu Malaysia (MAPIM) limetoa tamko likieleza kuunga mkono msimamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kuhusu kumweka rais wa Marekani kuwa na dhima juu ya vifo na uharibifu uliotokana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iran.
Habari ID: 3481821    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/19

IQNA – Jukwaa la Umoja na Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu Duniani, (WFPIST) limepongeza msimamo wa kuunga mkono uliotolewa na wanazuoni na wasomi wa Kishia na Kisunni kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia machafuko ya hivi karibuni.
Habari ID: 3481814    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18

IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
Habari ID: 3481813    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18

IQNA-Wanazuoni na wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu, katika taarifa yao, wameonyesha kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khamenei, kufuatia machafuko ya hivi karibuni nchini, huku wakitoa tamko linalomtaja rais Trump wa Marekani kama mtu “muhrib”
Habari ID: 3481811    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/17

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amepongeza maandamano ya kitaifa yaliyoonyesha uungaji mkono kwa Jamhuri ya Kiislamu, akisema wingi wa wananchi waliojitokeza “umeandika historia” na kuvuruga njama za maadui waliolenga kuibua misukosuko kupitia vibaraka wao wa ndani.
Habari ID: 3481795    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/13

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kundi la watu waharibifu Alhamisi usiku mjini Tehran waliharibu mali za umma na za wananchi kwa ajili ya kumfurahisha rais wa Marekani huku akisisitiza kuwa Iran haitalegeza msimamo katika kukabiliana na magenge ya wahalifu.
Habari ID: 3481785    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/10

IQNA- Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa, Jamhuri ya Iran ya Kiislamu ni mbeba bendera ya kukabiliana mfumo wa kibeberu na mlinganiaji wa kuwepo mfumo wa kiadilifu wa Kiislamu ulimwenguni; suala ambalo kwa mujibu wake, ndilo sababu kuu ya mkanganyiko wa mataifa makubwa.
Habari ID: 3481725    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, hadhi ya wanawake katika Uislamu ni tukufu na ya juu mno na akaongeza kwamba: "tafsiri inayotoa Qur'ani Tukufu kuhusu utambulisho na shakhsia ya mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na ya kimaendeleo zaidi."
Habari ID: 3481612    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/04

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amemtaja Allamah Mirza Muhammad Hussain Naeini (Rehmatullah alayh) kama mmoja wa nguzo mashuhuri zaidi za kielimu na kiroho katika Hawza (Chuo kikuu cha Kiislamu) ya kale ya Najaf, Iraq.
Habari ID: 3481408    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/24

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza umuhimu wa kiroho na kimaadili wa sala, akiitaja kuwa miongoni mwa ibada zenye maana kubwa na zinazotoa uhai katika Uislamu.
Habari ID: 3481345    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/09

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali mazungumzo chini ya mashinikizo.
Habari ID: 3481281    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/24

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani inahujumu na kukabiliana na Iran kwa sababu inataka taifa hili liwe tiifu kwake, lakini wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu watapambana vikali na “tusi hilo kubwa”.
Habari ID: 3481130    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/24

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatعllah Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa vita vya siku 12 vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran vimeonesha kwa dhahiri uimara wa kipekee wa Jamhuri ya Kiislamu pamoja na dhamira thabiti na uwezo wake mkubwa.
Habari ID: 3481016    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/29

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea, huku akisisitiza kwamba taifa hilo litaendelea kusonga mbele kwa kasi zaidi katika nyanja za kijeshi na kielimu kwa azma iliyo imara.
Habari ID: 3481003    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/26

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Israel ililazimika "kusalimu amri na kuing'ang'ani Marekani" kwa kukata tamaa, wakati wa vita vya hivi karibuni vya siku 12 dhidi ya Iran, na kuthibitisha kuwa haina na uwezo wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu bila msaada.
Habari ID: 3480956    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/16

IQNA: Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amelaani vikali kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kumvunjia heshima na kumtishia Ayatullahil udhma Sayyid Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3480889    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/03

IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa ushindi dhidi ya utawala wa Israel na Marekani pamoja na umoja wa ajabu wa taifa la Iran.
Habari ID: 3480859    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/26

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran litasimama kidete  katika kukabiliana na vita vya kulazimishwa, kama ambavyo halitakubali amani ya kutwishwa  na hivyo taifa hali halitasalimu amri.
Habari ID: 3480841    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/18

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa Vikosi vya Ulinzi vya Iran vitachukua hatua kali na kuufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ufedheheke.
Habari ID: 3480833    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/14